Professional Blog Viewer

Browse blog posts clean and secured.

Total Posts
30
Quick and secure filtering

πŸ”– Latest Blog Posts

Showing 1 to 6 of 30 posts
Page 1 of 5

Happy birthday

πŸ—“ May 25, 2026 at 4:59 pm πŸ–Ό Image
Happy birthday Mwalimu Givenlight Kileo
Blog image

TAARIFA KWA WAZAZI NA WALEZI

πŸ—“ May 20, 2026 at 6:49 am πŸ–Ό Image
TANGAZO LA MTIHANI WA MOCK KANDA

Wazazi na walezi wote mnapenda kujulishwa kuwa kutakuwa na Mtihani wa Mock Kanda utakaowahusisha wanafunzi kutoka mikoa ya Tabora, Singida, Iringa na Dodoma. Mtihani huo utafanyika tarehe 20.05.2026 hadi 21.05.2026.

Hivyo tunawaomba wazazi muendelee kuwaandaa watoto wenu vizuri kwa kuwapa muda wa kujisomea, kuwahamasisha kufanya marudio ya masomo pamoja na kuhakikisha wanazingatia nidhamu na mahudhurio ya shule katika kipindi hiki muhimu.

Mtihani huu ni hatua muhimu ya kuwaandaa wanafunzi kuelekea mitihani yao ya mwisho na kupima kiwango cha uelewa wao kitaaluma. Ushirikiano wenu ni muhimu sana katika kuwajengea watoto mazingira bora ya kujifunza na kujiamini zaidi.

β€œTukiwalea watoto katika elimu bora leo, tunajenga taifa imara kesho.”

Asanteni kwa ushirikiano wenu na Mungu awabariki sana.
Blog image

TAARIFA KWA WAZAZI NA WALEZI

πŸ—“ May 7, 2026 at 9:00 am πŸ–Ό Image
Matokeo kwa mtihani wa April 2026 yameshatoka jinsi ya kuingia na kuyaona matokeo ya mwanao
1. Ingia Google/chrome
2. Search mwanzugi.com
3. Jaza username na password ya mwanao
4. Ingia sehemu ya student
5. Bonyeza sehemu ya April

Hapo utayaona matokeo kwa mwezi huo karibu sana mwanzugi shule ya msingi
Blog image

TAARIFA KWA WAZAZI NA WALEZI

πŸ—“ April 8, 2026 at 7:43 am πŸ–Ό Image
Tunapenda kuwapa taarifa kuwa shule imefunguliwa leo tarehe 8.4.2025 siku ya jumatano
Karibu sana mwanzugi shule ya msingi
Blog image

PASAKA NJEMA

πŸ—“ April 5, 2026 at 2:10 pm πŸ–Ό Image
Mwalimu Mkuu anawatakia pasaka njema wazazi/walezi na wadau mbalimbali wa elimu
Blog image

TAARIFA KWA WAZAZI NA WALEZI

πŸ—“ March 30, 2026 at 2:20 pm πŸ–Ό Image
πŸ“ Matokeo ya Mock wilaya kwa darasa la saba yameshatoka unaweza kuyaona kupitia mwanzugi.com
Hatua za kuingia:-
1. Ingia Chrome/Google kama huna app ya mwanzugi.com
2. Weka username na password na hakika umeweka kwenye kipengele cha student
3. Baada ya hapo ingia nenda kwenye kipengele cha Mock wilaya 2026
4. Hapo utaona matokeo ya mwanao

Muwe na siku njema
Blog image