OFISI YA UTAMADUNI SANAA NA MICHEZO YA HALMASHAURI YA WILAYA YA IGUNGA
đź—“ March 18, 2026 at 1:46 am
â–¶ YouTube Video
Watendaji wa Ofisi ya Utamaduni Sanaa na Michezo wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga ikiongozwa na Mkuu wa kitengo wa ofisi hiyo ndugu Fadhili Asukile Kayange waitemblea Shule ya Msingi Mwanzugi kueleza fursa mbalimbali zinazopatikana kwenye shughuli za Sanaa,Utamaduni na Michezo haswa kwenye Shule za msingi